1. LocationSasa nisisikie mtu analalamika nina sijui laki NNE, sijui laki tatu nifanye biashara gani hii nakupa tu. Ukifeli wewe utakuja tumia zaidi ya Millioni
Offer Offer Offer Offer
*Hii ofa ya mwisho sasa ni bora liende cha msingi pepo Library nzima na vitu vyake vyote nakuuzia kwa 380,000/= hadi pango mwezi mmoja nimekuachia.*
380,000/= tu
Leta nikapunguze machungu bar.
Piga, text humo now 0716321462
ikifika SAA 9 nampa mshkaji wangu, now nazima simu nikiwasha nione SMS kama unaitaji kama sijaona nampa mshkaji iwe bahati kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mshikaji wako nae anasubiri hio saa 9 ili umpe! kazi kweli kweliSasa nisisikie mtu analalamika nina sijui laki NNE, sijui laki tatu nifanye biashara gani hii nakupa tu. Ukifeli wewe utakuja tumia zaidi ya Millioni
Offer Offer Offer Offer
*Hii ofa ya mwisho sasa ni bora liende cha msingi pepo Library nzima na vitu vyake vyote nakuuzia kwa 380,000/= hadi pango mwezi mmoja nimekuachia.*
380,000/= tu
Leta nikapunguze machungu bar.
Piga, text humo now 0716321462
ikifika SAA 9 nampa mshkaji wangu, now nazima simu nikiwasha nione SMS kama unaitaji kama sijaona nampa mshkaji iwe bahati kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mshikaji wako nae anasubiri hio saa 9 ili umpe! kazi kweli kweli
For shit people like u, now i know kwanini jukwaa linapoteza hadhi yake.Yaleyale ya SIMU yangu mbovu nitumie kwenye namba hii. Unaonywa!!! tahadhari kabla ya hatari.
Unaamka mzee au ndio umelala.Desktop na meza kwa 380,000
Hata huyo mshkaj wako akikupa laki bas amefanya kukusaidia tu
Sent using Jamii Forums mobile app