Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, nitashukuruNgoja nikuunganishe na mtu.
Hivi ni kwanini biashara ya matunda haifuti standard measurement kama kilo? Nilicheka sana mama mmoja alikuwa anauza maparachichi kwa kitu kinachoitwa ''kipimo cha gunia'' lakini kiuhasilia ni gunia ujazo wa gunia mbili (lumbesa)Habarii za Muda,
Nauza MAPARACHICHI kutoka moshi kwa gunia, noamba kama kuna mhitaji au dalali wa soko lolote Dar au popote tuwasiliane nikuuzie kwa bei nzuri kabisa, gunia ni 65,000 - 80,000 unaweza kupata idadi ya gunia utakazo
Mawasiliano 0658644485
Kwa wastani gunia moja inaweza kuwa na Parachichi ngp?Habarii za Muda,
Nauza MAPARACHICHI kutoka moshi kwa gunia, noamba kama kuna mhitaji au dalali wa soko lolote Dar au popote tuwasiliane nikuuzie kwa bei nzuri kabisa, gunia ni 65,000 - 80,000 unaweza kupata idadi ya gunia utakazo
Mawasiliano 0658644485
wakati unandika comment yako, je? umejiuliza huyu aliyeandika haya anatokea wapi na yupo katika mazingira gani? Na anayo elimu gani?Dunia ya sasa tangazo bila picha video clip sw na takataka TU.
KAZI ni kipimo cha UTU
Habarii za Muda,
Nauza MAPARACHICHI kutoka moshi kwa gunia, noamba kama kuna mhitaji au dalali wa soko lolote Dar au popote tuwasiliane nikuuzie kwa bei nzuri kabisa, gunia ni 65,000 - 80,000 unaweza kupata idadi ya gunia utakazo
Mawasiliano 0658644485
Uko positive sanawakati unandika comment yako, je? umejiuliza huyu aliyeandika haya anatokea wapi na yupo katika mazingira gani? Na anayo elimu gani?
Wewe uko na maarifa katika fani ya online marketing je hayo maarifa yako, mimi naweza kuwa nayo?
Mpe hongera kwa kujaribu nachokifanya na uumpe maboresho katika biashara anayoifanya...
dah huoni kaeka kwenye thread yake.Bei .
Sikuonadah huoni kaeka kwenye thread yake.
Wakulima hawana shida na lumbesa wao usema ni nyongeza ya mkulimaHivi ni kwanini biashara ya matunda haifuti standard measurement kama kilo? Nilicheka sana mama mmoja alikuwa anauza maparachichi kwa kitu kinachoitwa ''kipimo cha gunia'' lakini kiuhasilia ni gunia ujazo wa gunia mbili (lumbesa)
Kwa jina zinaitwa parachichi Aina ya HASSOrganic avocado from kilimanjaro, huwa ni vidogo vidogo halafu vitamu kwelikweli, siyo kama hayo makubwa makubwa halafu siyo matamu kabisa!
Lakini haimaanishi kuwa hakuna shida.Wakulima hawana shida na lumbesa wao usema ni nyongeza ya mkulima
Ni kiherehere cha serikali tu hakuna mkulima amewahi lalamika kipimo cha lubesaLakini haimaanishi kuwa hakuna shida.
Busara ni kutosubiri mtu alalamike ndiyo uone unamuuza. Ukiona mtu yoyote anayetenda dhulma au jambo baya halafu anasema anafanya hivyo kwa sababu anayetendewa halalamiki, basi huyo ni mnyama.Ni kiherehere cha serikali tu hakuna mkulima amewahi lalamika kipimo cha lubesa
wakati unandika comment yako, je? umejiuliza huyu aliyeandika haya anatokea wapi na yupo katika mazingira gani? Na anayo elimu gani?
Wewe uko na maarifa katika fani ya online marketing je hayo maarifa yako, mimi naweza kuwa nayo?
Mpe hongera kwa kujaribu nachokifanya na uumpe maboresho katika biashara anayoifanya...