MUSSA MBOGONI
Member
- Apr 14, 2019
- 9
- 1
Hallow wana jamvi nimewaletea mashine nyingine ya kuranda na kuchana mbao yenye uwezo mkubwa baada ya ile nyingine kununuliwa bei ni sh. 2,800,000 karibu tuwasiliane bei ni rahisi sana tofauti na ukiagiza nje, pia haina shida yoyote kama unavyoiona kwenye picha ipo kazini. inauzwa kwa kuwa haina usimamizi hapo workshop. karibuni sana piga no. 0713026995