INAUZWA Nauza mashine ya kutengeneza siagi ya karanga bei poa

INAUZWA Nauza mashine ya kutengeneza siagi ya karanga bei poa

Karibuni mzigo umekuja mwingine kwa waliokosa Awamu ya kwanza karibuni zimerudi.anzisha mradi wako sasa
 
Mashine ya kutengeneza Siagi zimeridi Tena kwa Bei poa kabisa ya 120,000 utapata complete mashine check nasi kwa 0763772636
 
Ninauza mashine za kusaga siagi ya karanga yaani kwa wale wanaotaka kuanzisha biashara ndogo ya uuzaji wa Penuty butter karibuni niwauzie mashine.

Sifa za mashine

Inasaga kwa kutumia nishati ya umeme

Ina watts 750

Ina uwezo wa kusaga gm 350 kwa wakati mmoja

Inasaga na nuts nyingine Kama korosho no

Waweza kuanzisha biashara ya kuuza Penuty butter kwa kwenda sido na kununua vifungashio
Tafuta disgner akutengenezee logo ya biashara

Fungasha sambaza kwenye maduka uza kwa ndugu marafiki wengine hususani ukanda wa ziwa hutumia siagi ya karanga Kama kiungio Cha mboga mbadala wa Nazi

Tunapatikana Ukonga DSM na Mwanza Nyegezi

Bei ni sh 120,000 tu

WhatsApp me 0763772636

View attachment 1566801View attachment 1566812
Mkuu bado zipo mashine?
 
Mashine zimeridi Tena Ni nzuri Sana utapata kwa Bei Yetu ile ile ya Tabasamu 120,000 tu
 
Penuty butter kwa kiswahili Ni Nini boss? Sisi tuliosoma enzi za kidumu na mfagio tunajua Kama Siagi ya karanga wewe uliyesoma kwa school busy waweza kutusaidia tukajua sote Ni watoto wa baba mmoja.
Siagi, halafu inatokana na karanga? Kiswahili kigumu sana.
 
Huwezi pata siagi bila maziwa.
Penuty butter kwa kiswahili Ni Nini boss? Sisi tuliosoma enzi za kidumu na mfagio tunajua Kama Siagi ya karanga wewe uliyesoma kwa school busy waweza kutusaidia tukajua sote Ni watoto wa baba mmoja.
 
Uamuzi Ni wako kutengeneza nuts upendayo usikariri vitu uzuri wa hii mashine Kuna kitabu ndani Cha muongozo wa kutengeneza nuts tofauti tofauti za korosho alizet karanga kunde nk
 
ndio nini kuandika na kujijibu peke yako bei ikifika 70K Nicheki nikuchangie
 
Mashine kwa Sasa zimekwisha Tunashukuru Sana wote kwa Support Yenu round ya tatu zinakuja soon
 
Back
Top Bottom