INAUZWA Nauza mashine ya kutengeneza siagi ya karanga bei poa

Karibuni mzigo umekuja mwingine kwa waliokosa Awamu ya kwanza karibuni zimerudi.anzisha mradi wako sasa
 
Mashine ya kutengeneza Siagi zimeridi Tena kwa Bei poa kabisa ya 120,000 utapata complete mashine check nasi kwa 0763772636
 
Mkuu bado zipo mashine?
 
Mashine zimeridi Tena Ni nzuri Sana utapata kwa Bei Yetu ile ile ya Tabasamu 120,000 tu
 
Penuty butter kwa kiswahili Ni Nini boss? Sisi tuliosoma enzi za kidumu na mfagio tunajua Kama Siagi ya karanga wewe uliyesoma kwa school busy waweza kutusaidia tukajua sote Ni watoto wa baba mmoja.
Siagi, halafu inatokana na karanga? Kiswahili kigumu sana.
 
Huwezi pata siagi bila maziwa.
Penuty butter kwa kiswahili Ni Nini boss? Sisi tuliosoma enzi za kidumu na mfagio tunajua Kama Siagi ya karanga wewe uliyesoma kwa school busy waweza kutusaidia tukajua sote Ni watoto wa baba mmoja.
 
Uamuzi Ni wako kutengeneza nuts upendayo usikariri vitu uzuri wa hii mashine Kuna kitabu ndani Cha muongozo wa kutengeneza nuts tofauti tofauti za korosho alizet karanga kunde nk
 
ndio nini kuandika na kujijibu peke yako bei ikifika 70K Nicheki nikuchangie
 
Nimeuza zaidi ya PC 136 humu ndani so elewa Niko kwenye matangazo na wateja wapo thank you for your offer boss.
ndio nini kuandika na kujijibu peke yako bei ikifika 70K Nicheki nikuchangie
 
Mashine kwa Sasa zimekwisha Tunashukuru Sana wote kwa Support Yenu round ya tatu zinakuja soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…