Nauza mashudu ya Alizeti kiasi chochote unachohitaji, kilo sh 500

Nauza mashudu ya Alizeti kiasi chochote unachohitaji, kilo sh 500

Medecin

Platinum Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
8,836
Reaction score
24,344
Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza hapo juu.

Nauza mashudu ya alizeti mazuri kutoka Morogoro, nina kiwanda cha kukamua mafuta sasa nina mashudu ya kutosha nimeona niyapunguze stock yangu imeshajaa. Kilo moja nauza sh 500. Hata ukihitaji tani 30 unapata.
Natuma mkoa wowote ule

Karibuni
0636642415
 
Back
Top Bottom