Nauza mashudu ya Alizeti, nipo Songea mjini

Mwanyoro

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
635
Reaction score
457
Habarini za muda huu nauza mashudu ya Alizeti bei ni Tsh 150 kwa kilo moja, mazungumzo yapo endapo utachukua zaidi ya Tani 25 nipo Songea Mjini kwa mawasiliano zaidi unaweza kunipigia kwa simu No 0762717285.

Karibuni sana.

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
kaka niko mwanza!! had kufika huku si itakua ishafika kilo 650
 
Back
Top Bottom