tabu kuishi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 353
- 43
Nina mashudu ya alizeti tani 20 nauza yapo mkoani, ukihitaji nakuleteya popote ulipo, kwa mwenye kuhitaji ani sms 0712976729
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nitachukua yote ila bei yangu ni 300 kwa kilo pia una deliver kigamboni. kwa kilo. kama unataka confirm.Nina mashudu ya alizeti tani 20 nauza yapo mkoani, ukihitaji nakuleteya popote ulipo, kwa mwenye kuhitaji ani sms 0712976729
mi nitachukua yote ila bei yangu ni 300 kwa kilo pia una deliver kigamboni. kwa kilo. kama unataka confirm.
ni ya singida, Moshi au Mbeya -- pia confirm.