Nauza mayai ya kuku wa kienyeji (halisi sio chotara)

TigerG

Member
Joined
May 21, 2018
Posts
19
Reaction score
8
Habari wana jf,mimi nafanya biashara ya mayai ya kuku wa kienyeji,binafsi sio mfugaji ila nakusanya kutoka kwa wafugaji wadogo wadogo wasiozalisha mengi kwa wakati mmoja. Nipo Dar,nauza tray kwa Tsh.12,000. Karibuni.
 
Watu wa dar mlivyo waongo waongo, usikute siyo ya kienyeji ni ya kutotoresha kwa mashine. Dsm hamuaminiki
 
"Siyo ya kienyeji ni ya kutotoresha kwa mashine" umeongea kitu gani wewe?
 
Kama huhitaji we kausha sio kila kitu lazima kucomment. Dah kuna watu humu pessimistic kweli.
 
"Siyo ya kienyeji ni ya kutotoresha kwa mashine" umeongea kitu gani wewe?
Yaani hayo mayai yako siyo ya kienyeji, yaani watu wa dar ni waongo waongo sana, yaani ni ngumu kuwaamini, nashauri watu wasikulipe hela mpaka wapasue yai randomly kijua kama kipo kiini cha njano
 
Wewe upo dar?
 
Wewe upo dar?
Haikuhusu, kikubwa uwe mkweli maana kizazi hiki ni cha watu waongo hasa dar inaongoza kwa kuwa na waongo waongo. Hasa kwenye bidhaa/services, kuna uongo mwingi sana ndani ya JF kwa watu wa dar
 
Unapatikana wapi hapa dar na je nikihitaji kwa Sinza itakuwa kiasi gani?
 
Sijakutukana,nimekudescribe character yako,tofautisha. Mi natangaza biashara yangu we unaanza maneno sijui kutoka wapi,kwann usilete hoja kistaarabu kama unaona ipo haja ya mm kuprove authenticity ya hayo mayai? Unaanza kuchonga hovyo tu? Wewe endelea kubonga wanaohitaji biashara nitafanya nao na wao ndio watajua kama ni yenyewe ama la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…