Nauza mayai ya kuku wa kienyeji (halisi sio chotara)

Sijakutukana,nimekudescribe character yako,tofautisha. Mi natangaza biashara yangu we unaanza maneno sijui kutoka wapi,kwann usilete hoja kistaarabu kama unaona ipo haja ya mm kuprove authenticity ya hayo mayai? Unaanza kuchonga hovyo tu? Wewe endelea kubonga wanaohitaji biashara nitafanya nao na wao ndio watajua kama ni yenyewe ama la.
MKUU ACHA KUPANIKI UNAWEZA KUTA NA YEYE NI MTEJA BE COOL
 
Sijakutukana,nimekudescribe character yako,tofautisha. Mi natangaza biashara yangu we unaanza maneno sijui kutoka wapi,kwann usilete hoja kistaarabu kama unaona ipo haja ya mm kuprove authenticity ya hayo mayai? Unaanza kuchonga hovyo tu? Wewe endelea kubonga wanaohitaji biashara nitafanya nao na wao ndio watajua kama ni yenyewe ama la.
Futa hilo neno ulilotukana kwenye uzi na uombe msamaha haraka sana
 
Wewe na e acha undina kwenye biashara za watu.
Kama huna hela ya kununua acha wateja walio serious waongee mahesabu.

Shaghabhala-Shatwain
 
Sawa kama hainihusu basi na ww biashara yangu haikuhusu. Kama unataka nikuletee wewe upasue hata tray zima nitakuletea bwege wewe
Mod Two huyu mdau TigerG kaleta kutangaza biashara na kanitukana hapo juu, mpigeni BAN, na uzi wake muufute maana kagoma kuomba msamaha
 
Back
Top Bottom