Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona ni cx5 hyo na siyo cx3Hii inaitwa panda kwenye gari na sio ingia kwenye gari.
Mazda CX-3
Year 2013
Fuel Diesel
CC 2180
Km 80k
Price milion 27.5
View attachment 3094276View attachment 3094277View attachment 3094278View attachment 3094282
Hujui brand ya gari unayoiuza sidhani kama utafanikiwa adhma yako. Hiyo ni Mazda CX 5 siyo CX 3.Hii inaitwa panda kwenye gari na sio ingia kwenye gari.
Mazda CX-3
Year 2013
Fuel Diesel
CC 2180
Km 80k
Price milion 27.5
View attachment 3094276View attachment 3094277View attachment 3094278View attachment 3094282
Shukran Sana Kwa kunikosoa Mzee wangu.Hujui brand ya gari unayoiuza sidhani kama utafanikiwa adhma yako. Hiyo ni Mazda CX 5 siyo CX 3.
Pili kwa namba hiyo ECZ ya mwaka 2013 labda uanzie Tsh 25 M ila kwa Tsh 27 M unatwanga maji kwenye kinu