Car4Sale Nauza Mazda Verisa No. EEX Milioni 13

Habari Mkuu,

Gusa sehemu hiyo imeandikwa Attach files kuweka picha zako. Tazama kwenye picha hapa chini:

1710969441457.png
 
Habari Mkuu,

Gusa sehemu hiyo imeandikwa Attach files kuweka picha zako. Tazama kwenye picha hapa chini:

View attachment 2940512
Safi sana moderator Umetuwakilisha Vyema kabisa wanachama wa CHAWAPIJA..(Chama cha Waomba Picha Jamiiforum)..

Nikiwa kama katibu wao natoa Pongezi kwako😀😀

Mkuu Mwl Evarist Mchele Jaribu kufuata maelekezo ya kaka Moderator kuweka Picha ili tuone
 
Dah! Sahihi kabisa. Angecheewa kidogo tu, wanachama tungeanza kuziulizia hizo picha kwa kasi ya ajabu.
 
Back
Top Bottom