Nauza Mazda Verisa

Nauza Mazda Verisa

Asante, ume chambua vyema 3g ime kaa poa.
Hivi premio Ile premium na Mazda axela una recommend ipi??
Premio mwaka gani? Unajua Mazda Axela ni sport. Mtu unapenda kucustomize gari, unapenda mbio, unapenda kuweka sport rim etc ndio gari lake. Premio ni mtu flani anaenda kazini umechomekea hauwezi ifanyia chochote ile.
. Mazda Axela ipambanishe na Subaru Imprezza.
 
Asante kwa ushauri mkuu, Kuna muhindi tuko ofisi za karibu.
Ana premio Moja ni Kali sana, nika Dhani Ina weza chuana alna axella
 
Back
Top Bottom