Nauza mbao,nguzo,mirunda na fito zilizowekwa dawa(CCA PRESSSURE TREATED TIMBER)

Fem2

Member
Joined
Aug 19, 2021
Posts
25
Reaction score
28
Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza nauza mbao,nguzo,fito na mirunda vyote vimewekwa dawa kwa pressure kwenye mtambo kwa ajili ya kuzuia wadudu waharibifu kama mchwa.Pia huifanya mbao/nguzo/fito/mrunda idumu muda mrefu.
Napatikana Mafinga-Iringa.
0755885888.
Karibuni sana tufanye biashara.
 
Attachments

  • IMG-20250520-WA0211.jpg
    IMG-20250520-WA0211.jpg
    1.6 MB · Views: 36
Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza nauza mbao,nguzo,fito na mirunda vyote vimewekwa dawa kwa pressure kwenye mtambo kwa ajili ya kuzuia wadudu waharibifu kama mchwa.Pia huifanya mbao/nguzo/fito/mrunda idumu muda mrefu.
Napatikana Mafinga-Iringa.
0755885888.
Karibuni sana tufanye biashara.
Nei gani
 
Ungekuwa na ofisi dar , tungeongea biashara maana natafuta wafanyabiashara wa jumla kwenye shughuli za ujenzi nifanye nao business.

Natafuta wafanyabiashara :
1. Mbao za kupaua (wholesale)
2. Rangi (wholesale)
3. Cement(wholesale)
4. Tiles (wholesale)
5. Gysum(wholesale)
6. Bati(factory)
7. Solar Energy(wholesale)
8. Viwanja(Real Estate Company)
9. Aluminium windows / Grill windows & Doors
10. Wood Doors.
11. Electronics (TV, Fridge, Cooker etc - wholesale), wiring(wholesale)
12. Pazia (wholesale)
 
Back
Top Bottom