Tuna gari za ofis boss delivery mpaka ulipo kwa makubaliano.Mafinga mbali sana
Nei ganiHabari wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza nauza mbao,nguzo,fito na mirunda vyote vimewekwa dawa kwa pressure kwenye mtambo kwa ajili ya kuzuia wadudu waharibifu kama mchwa.Pia huifanya mbao/nguzo/fito/mrunda idumu muda mrefu.
Napatikana Mafinga-Iringa.
0755885888.
Karibuni sana tufanye biashara.
Cubic meter 1 420000 treated.Nei gani
Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza nauza mbao,nguzo,fito na mirunda vyote vimewekwa dawa kwa pressure kwenye mtambo kwa ajili ya kuzuia wadudu waharibifu kama mchwa.Pia huifanya mbao/nguzo/fito/mrunda idumu muda mrefu.
Napatikana Mafinga-Iringa.
0755885888.
Karibuni sana tufanye biashara.