NAUZA MBEGU ZA MABOGA NA UNGA WAKE..

NAUZA MBEGU ZA MABOGA NA UNGA WAKE..

King mkucha

Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
89
Reaction score
70
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu leo nimekuja na hii biashara yangu... Kama mnavyojua umuhimu wa mbegu za maboga kwenye mambo yetu yaleee ya chumbani (booster) pia huongeza wingi wa shahawa....

Pia kwa wamama wenye watoto wachanga mbegu za maboga huongeza maziwa kwa kasi sana....

Mbegu zetu ni nzuri na zimehifadhiwa vizuri pia zimekaangwa kidogo kuongeza radha kwa mlaji
[emoji12][emoji12]
Zinapatikana kwa wingi na mikoa ya jirani tunatuma kwa njia ya basi..

Mbegu na unga wake vinapatikana kwa bei ya Tsh 1500 kwa kila package kama inavyoonekana kwenye picha

Nitafute 0654388979 whatsapp, call and sms ahsanteni sanaaa
20190711_103706.jpeg
20190711_103659.jpeg
 
Back
Top Bottom