Nauza Mbwa wazuri sana

Kama namwona fisi kwa mbaliii huko nyuma yao kabisa au macho yangu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Salaam wadau...nauza mbwa (puppies) aina ya Spitz Terrier,ni madume na sasa wana wiki 6.Nauza laki 4 kila 1.Kwa mawasiliano zaidi 0689900000. Karibuni

Jaman mie napenda kuelimishwa. Gharama ya kitu chochote hutegemea na investment pamoja na ile profit margin yake. Hiv hii biashara ya mbwa hapa mjini, ughali wake unatokana na nini hasa? Ni kitu gani ambacho mtu hugharamika saana mpaka bei za hao mbwa ziwe kubwa kiasi hicho??
 
Ok!! Duuu sory mkuu inaonyesha bonge la jiba!!!ebu mrushie mama yao akiwa peke ake mzima mzima!!!
 
Usawa huu laki nne mkuu hao kunasehemu wanauza elfu 40 hadi 30 ila biashara njema mkuu all the best
 
Laki 4 ni sawa na tofali ngapi mkuu? maana wengine tupo kijijini tuna mbwa wetu tunapewa baada ya kuwapa viporo
 
Zero brain mwingne tena na ww mazingra hayaendan na bei nn ambacho hujaelewa hpo mdogo wangu au naww ni ******
sasa kasema mbwa wanauzwa hajasema mbwa na banda linauzwa, pa kuwapeleka kazi ya mteja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…