Nauza Mbwa wazuri sana

Nauza Mbwa wazuri sana

Yaani hivyo vijibwa koko ndio uuze kimoja kwa laki nne!!?... kwa lipi hasa??
Eti spitz nini sijui huko!!!.
Watu mna visa!.
 
Hiyo hela ni Pamoja na viroboto wake plus minyoo au ushawatibu kabisa?
 
Sasa na ww mazingra hayaendan na bei nn ambacho hujaelewa hpo mdogo wangu
Kwa iyo ukifanya biashara ya dhahabu chooni huwa thamani inapungua,au ukiokota dhahabu katika chemba ya mavi huwa inashuka thamani au??just look a product en not where product is kept,,,labda mazingira yawe yanaiathir bidhaa au mteja.
 
Salaam wadau...nauza mbwa (puppies) aina ya Spitz Terrier,ni madume na sasa wana wiki 6.Nauza laki 4 kila 1.Kwa mawasiliano zaidi 0689900000. Karibuni

Jaman mie napenda kuelimishwa. Gharama ya kitu chochote hutegemea na investment pamoja na ile profit margin yake. Hiv hii biashara ya mbwa hapa mjini, ughali wake unatokana na nini hasa? Ni kitu gani ambacho mtu hugharamika saana mpaka bei za hao mbwa ziwe kubwa kiasi hicho??
We unachukulia poa gharama za kuwanywesha uji wa ulezi na maziwa pamoja na matunda tangu wakiwa wadogo!
 
Eti ni kwasababu n wakizungu...[emoji2] [emoji2] [emoji2] wabongo shobo zinatumaliza
 
We unachukulia poa gharama za kuwanywesha uji wa ulezi na maziwa pamoja na matunda tangu wakiwa wadogo!
Ila watu mna visa ,wanakula matunda gani aisee strawberries na blueberries au ?? Mbwa ana gharama zake sio masihara
 
We unachukulia poa gharama za kuwanywesha uji wa ulezi na maziwa pamoja na matunda tangu wakiwa wadogo!

Pamoja na uji au sijui vitu gan, hizo bei mna inflate kupita kiasi. Nadhan ni kuiga zaid maisha ya wazungu kuliko uhalisia. Anyway wauzie wenye uhitaji nilikuwa napenda tu kuelimishwa na wala sina nia ya kumkatisha tamaa mtu.
 
Treatment ya hao mbwa ni expensive mkuu ,, chanjo , dawa za hapa na pale , chakula kizuri , mda wa ku wapa care , na ukiajiri mtu kwa kazi hiyo ndo gharama inakuwa kubwa zaidi ... Kwa kifupi production yake ni gharama kuliko simu za tecno
 
Ok!! Duuu sory mkuu inaonyesha bonge la jiba!!!ebu mrushie mama yao akiwa peke ake mzima mzima!!!
kweli atuwekee picha ya mama yao, inaonekana ni majibwa makubwa, safi sana.
 
Oya na mimi namuuza Ng'ombe wangu kipenzi, milioni 9 na laki tano[emoji39]
FB_IMG_1694945837351.jpg
 
Back
Top Bottom