Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu uone gari tuzungumze mkuuBEI YA MWISHO SH NGAPI
Chukua 13 MkuuFrom Japan
YOM 2007
1790cc
Automatic
Petrol
105,000 Kms
Dar Es Salaam
.
0717 650800
Kuna kitu hukielewi mkuu....wacha nikuache tu
Wazungu wana msemo wao 'Gracious Insult' na ndicho ulichokifanya na hii comment. Umemuita mtu mpumbavu bila kumuita mpumbavu.Kuna kitu hukielewi mkuu....wacha nikuache tu
Mkuu,huyo uliyemquote,ameuliza swali,ndio maana akaweka alama ya kuuliza,Kuna kitu hukielewi mkuu....wacha nikuache tu
Mkuu... kama taarifa zipi kwa mfano?.....kuna ubaya tukitunza privacy?Unauza alafu umefunika plate number, unanifanya niwe nawasiwasi wa taarifa za ilo gari kuwa sio za kweli.
Ninataka kujiridhisha baadhi ya taarifa kabla ya kuwasiliana na muuzaji, taarifa kama za insurance, km ilizotembea kabla ya gari kuja nchini nk.Mkuu... kama taarifa zipi kwa mfano?.....kuna ubaya tukitunza privacy?
Karibu uone gari physically, utafanya vyote hivyo mkuu.Ninataka kujiridhisha baadhi ya taarifa kabla ya kuwasiliana na muuzaji, taarifa kama za insurance, km ilizotembea kabla ya gari kuja nchini nk.
😂Mbona picha imepigwa kwenye kituo cha mwendo kasi? una haribu miundombinu yetu
Too lowUkifika 14mil nakuja.
Ahsante kwa ofa ofa kakaChukua 13 Mkuu