Nauza Mercedes Benz C Class (EHQ) TZS. 22m

Nauza Mercedes Benz C Class (EHQ) TZS. 22m

Kama kuna mjapani aliinunua kutoka ujerumani ikiwa km0 halafu baada ya kuitumia akaamua kuiuza ndio mtz akainunua kutokea japani unategemea wataandika from Germany?
Nachojua huwa inaandikwa Country of Origin.. mfano Kwani hakuna gari used zinanunuliwa kutoka Kenya? mbona huwaandiki From Kenya.
 
Back
Top Bottom