Nauza mfumo wa gesi kwenye bajaj kwa bei kitonga 200k

Nauza mfumo wa gesi kwenye bajaj kwa bei kitonga 200k

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Habari wakuu, nauza mfumo wa gas kwenye bajaj bei ni laki mbili..

Ila bado una deni la laki Saba na hamsini utaenda kumalizia mkopo wako.

Mazungumzo yapo
Wahi sasa

IMG_20241029_120437.jpg
 
Ebwana huo Mtungi ndipo unapokaa hapo chini ya siti?Sema hiyo gesi siyo hatarishi kweli?Ukibasti hapo ni kinyesi tu.
 
Technologies za kibongo risks ni 83% faida ni 17%. Kila la kheri ni affordable source with highest risk.
 
Kitonga, hebu Tia mawasiliano yako ili nione Kama tunaweza kufanya biashara ya huo mfumo wa gesi
 
Back
Top Bottom