Simamia Stock za Dawa, Mauzo, Expiry & Ripoti za Kifedha kwa Urahisi (BEI RAFIKI)
Wamiliki wa pharmacy / duka la dawa,
Hebu niulize swali la kweli π
π Umewahi:
Kukuta dawa zime-expire bila wewe kujua?
Kukosa stock ya dawa muhimu wakati mteja yupo?
Kupata hasara kwa sababu ya dawa kupotea au kuibiwa?
Kushindwa kujua faida halisi ya pharmacy yako?
π Tatizo si pharmacy yako β tatizo ni kukosa MFUMO MAALUM WA KUSIMAMIA DAWA.
π‘ Suluhisho kwa Pharmacy
View attachment 3534675
Nimetengeneza PHARMACY MANAGEMENT SYSTEM unaosaidia:
β
Kusimamia stock za dawa (ingia, toka, baki)
β
Kufuatilia expiry date & batch number za kila dawa
β
Kurekodi mauzo ya kila dawa kwa usahihi
β
Kudhibiti bei tofauti za dawa
β
Kupata ripoti za mauzo, faida/hasara & stock
β
Kutengeneza receipt & invoice kwa haraka
β
Kufanya kazi online/cloud β ona pharmacy yako popote ulipo.
Mfumo unafaa kwa:
π Pharmacy ndogo & kubwa
π₯ Maduka ya dawa ya hospitali/clinic
π¨ββοΈ Wamiliki wanaotaka udhibiti kamili wa dawa & fedha
View attachment 3534676
View attachment 3534677
π° GHARAMA β NA KINACHOINGIA KWENYE BEI
Tsh 300,000 si bei ya software tu β ni uwekezaji wa usalama wa pharmacy yako.
Kwa Tsh 300,000 UNAPATA:
β
Pharmacy Management System kamili
β
Customization kulingana na aina ya pharmacy yako
β
Account yako binafsi (online/cloud system)
β
Setup & configuration ya awali (dawa, bei, categories, stock)
β
Training kamili kwa mmiliki au wafanyakazi
β
Receipt, invoice & sales system tayari kutumika
β
Ripoti zote muhimu za kifedha & stock
β
Support ya mwanzo kuhakikisha unaanza bila shida
π Hasara ya dawa ku-expire au kupotea mara moja tu inaweza kuzidi gharama ya mfumo huu.
π§ MAINTENANCE YA MWAKA β Tsh 150,000 TU
Kwa ada hii unapata: β Kuhifadhi na kulinda data za pharmacy (backup & security)
β Support ya kiufundi unapohitaji msaada
β Marekebisho madogo ya mfumo
β Mfumo kuendelea kufanya kazi bila kusimama
π Hii ni chini ya Tsh 410 kwa siku
(Bei ya maji β lakini inalinda pharmacy yako kila siku)
β οΈ Pharmacy Bila Mfumo = Hasara
β Dawa ku-expire bila notice
β Mauzo yasiyoeleweka
β Wizi wa ndani
β Kukosa dawa muhimu kwa wateja
π Hasara moja tu inaweza kuzidi gharama ya mfumo mzima.
π MAWASILIANO
Kama wewe ni mmiliki wa pharmacy serious na unataka: β Kudhibiti dawa zako vizuri
β Kupunguza hasara
β Kuongeza faida
π² Call / SMS / WhatsApp: 0797 870940
π Nitakupa demo uone mfumo kabla ya kuamua.
π¬ Pharmacy bora hazisimamiwi kwa kukumbuka β zinasimamiwa kwa mifumo.