INAUZWA Nauza miche ya matunda na viungo

INAUZWA Nauza miche ya matunda na viungo

Natamani niwe na shamba la matunda tupu Siku Moja

Hata watoto wavivu wa shamba watajikuta wanatamani kwenda kutokana na matunda yaliyopo huko shambani
 
Ntahitaji kisasa 5 na kienyeji tano, pia kwa ardhi ya chanika ambayo ni kichanga sana matunda gani yanastawi

Ntahitaji kisasa 5 na kienyeji tano, pia kwa ardhi ya chanika ambayo ni kichanga sana matunda gani yanastawi?
Kwa ardhi ya kichanga, embe,chungwa,Pera nk.zinastawi vizuri, tuwasiliane Kwa namba 0683017311 call & whatsapp
 
Back
Top Bottom