Nauza milunda kwa ajili ya shughuli mbali mbali za ujenzi

Nauza milunda kwa ajili ya shughuli mbali mbali za ujenzi

TheTrf

Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
10
Reaction score
9
Ziko pisi nyingi Sana kwa ajili ya fensi n.k zenye urefu wa 6ft 7ft na 5ft. Pisi moja Ni shilingi 1000. Kila kipande kimekuwa treated. Mzigo upo pembeni mwa barabara ya lami ,mpakani mwa njombe na Songea. 0684682777
 

Attachments

  • IMG_20221001_104945_019.jpg
    IMG_20221001_104945_019.jpg
    748 KB · Views: 10
100
Me nmenunua juzi 2000 mmja
Na ilikua inatakiwa 20 daaaah![emoji21]
 
Back
Top Bottom