Hahaaaa!!!yaani ukiwa hujawahi kufika huko, ukivuka pale IPOLE, tu unaweza hisi labda huko uendako hakuna watu wanaishi kabisa!! Kwani sio kwa mapori yalee
Muongo huyo kama ni kweli alete hapa namba ya muuzaji wa huo mkaaaana kuna wengine wako serious wanataka kufanya hii biashara kweli atakuwa ametusaidia.