kassim kimoby
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 588
- 463
Nataka chenye muonekano wa hivyo ila rangi sio hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi 41 ndo sawa na namba7?Timberland loafers boat brown leather nilipatiwa kama zawadi tu sijakipenda
== price 38,000 ( size 41 { au 10 } )
View attachment 3071263View attachment 3071264View attachment 3071265View attachment 3071266View attachment 3071267
Kinawaza kuwa chako lakini hukimiliki au hujui Hilo mkuu?Kimfaacho mtu chake au cha mtu mavi.
Naishi Ubungo Dar es salaamUnapatikana wap
Kipo hichi tuu natamani ningekuwa navyovingi naona vinapendwa na watu wengiKizuri.
Unavyo vingi au kipo hicho2
Ndio🤣🤣44 mama, ulitaka kunipa zawadi?