Nauza mtungi wa gas 30 kg oryx, elfu 50

Nauza mtungi wa gas 30 kg oryx, elfu 50

Tuwasiliane 0653491308

cheki na hawa jamaa wa oilcom (0655277277), wanakubali kubadilisha gas ya oilcom na mitungi ya oryx. so nadhani kama wanaweza kubadilisha basi wanaweza kununua.
 
Nimekuuliza huo mtungi ni kilo 30 pamoja na gas au ni kilo 15 ukijazwa na gas ndio unakuwa 30
 
Nimekuuliza huo mtungi ni kilo 30 pamoja na gas au ni kilo 15 ukijazwa na gas ndio unakuwa 30

umesahau alama ya kuuliza (?). hata uende wapi kamwe hilo halitaonekana kama ni swali.
 
Daaah kazi ipo kg 30.5 empy
 
Back
Top Bottom