INAUZWA Nauza Mziki wa Club

INAUZWA Nauza Mziki wa Club

Chance ndoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
4,363
Reaction score
10,265
Habari wakubwa. Nauza Mziki wa Club, Used 5 years, Umetumika kwenye Club Nauza full kama ulivyo kila kitu chake. Bei sawa na bure.
Unafaa wamiliki wa Bar, Club, au wapiga sherehe au hata kwaajili ya majukwaa.
CLUB MUSIC SOUND
MILIONI 25,000,000 tu.
Milioni 25.
Bei inaongeleka kidogo.
Inakuja na:-
Mid speaker 7 (JSL)
BASS Speaker 3 (pool Table) 2 in 1
CANDY MUSIC BOOSTER (2 CA 12)
Cross Over
MIc na mashine yake.
MZIKI UPO DSM
KIMARA SUCA.
0783985530
Karibu sana.
Mimi ndio mmiliki.

20220315_231437.jpg


20220315_231426.jpg

20220315_231412.jpg

20220315_231358.jpg

20220315_231205.jpg

20220315_231205.jpg
 
Hapana boss. Club zipo chache sana. Mimi sijaachana na biashara ila nimeuza Jengo kwa mtu mwingine.
kama hutajali mkuu naomba nielekeze club zinazobamba mjini kwa sasa,sio sehemu za wazi za kunywa pombe zinazopiga mziki,nataka night club kabisa
 
hili wazo la kununua mziki kama huu nilikua nalo ila bei hii nimegairi
Bei unakamata Hiace unapiga ruti za Mbezi Malambamawili.
Lkn vyombo vyake siyo fwamba tatizo bei kaweka msumari haswaa
 
Ndege John ndugu yangu usiku huu unanunua music system jamani[emoji26][emoji26].

Hebu nenda ukalale utanunua kesho aisee.
Leo naishi humu nataka nijaribu kuacha konyagi ndo natest Huku kukoje Niko Cha nne
JPEG_20220316_224039_3759462954139234431.jpg
 
Back
Top Bottom