Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
mkuu hzo speaker 10 na mic ndio mil 25
Sio kila mtu lazma amiliki tajiri yangu. 😂😂😂mkuu hzo speaker 10 na mic ndio mil 25
Wewe ungevifuta kwanza?Unauza vitu vinaonekana kujaa vumbi na uchafu!!!! Jiongeze badili hata picha ukimaliza kuziweka vizuri.
Hapana boss. Club zipo chache sana. Mimi sijaachana na biashara ila nimeuza Jengo kwa mtu mwingine.Biashara ya club siku hizi mjini hoi sana.
kama hutajali mkuu naomba nielekeze club zinazobamba mjini kwa sasa,sio sehemu za wazi za kunywa pombe zinazopiga mziki,nataka night club kabisaHapana boss. Club zipo chache sana. Mimi sijaachana na biashara ila nimeuza Jengo kwa mtu mwingine.
hili wazo la kununua mziki kama huu nilikua nalo ila bei hii nimegairiSio kila mtu lazma amiliki tajiri yangu. 😂😂😂
Bei unakamata Hiace unapiga ruti za Mbezi Malambamawili.hili wazo la kununua mziki kama huu nilikua nalo ila bei hii nimegairi
tena dungu kali au pank..kila cku unakula pesa kiulainiBei unakamata Hiace unapiga ruti za Mbezi Malambamawili.
Lkn vyombo vyake siyo fwamba tatizo bei kaweka msumari haswaa
Ndege John ndugu yangu usiku huu unanunua music system jamani😥😥.Kula million 3 mkuu
Leo naishi humu nataka nijaribu kuacha konyagi ndo natest Huku kukoje Niko Cha nneNdege John ndugu yangu usiku huu unanunua music system jamani[emoji26][emoji26].
Hebu nenda ukalale utanunua kesho aisee.
Haka kadude kana tofauti gani na gongo jamani?Leo naishi humu nataka nijaribu kuacha konyagi ndo natest Huku kukoje Niko Cha nneView attachment 2153359
Kumbe huyu jamaa, huwa nae anajibu hivi kwenye thread.😂😂😂😂... ishi uone mengi.Kula million 3 mkuu
Asante ndugu lukonga.bro chance kula buku 20