Nauza/nafaulisha duka la laptops na vifaa vya simu

Brother Jof

Senior Member
Joined
Nov 5, 2018
Posts
114
Reaction score
153
Habar wakuu,

Tafadhari rejea kichwa hapo juu. Baada ya kukaa benchi mda kidogo bila ajira niliamua kujichanga mm na rafiki yangu kufungua biashara ya laptops za vifaa vya simu, Mungu akasaidia baada ya siku chache tena nimepata kazi sehemu yenye mkataba mzuri hivyo nafaulisha share zangu za biashara sababu muda wangu wa kazi unanibana pia kusimamia biashara hiyo na nimekosa msimamiz mzuri.

Duka lipo Kariakoo Dar, Nahitahitaji 3.5Milioni pekee.

Karibu kama unahitaji.
 
Weka maelezo ya kueleweka mkuu
Unafaulisha mzigo au unafaulisha na share?
Kodi ikoje?
Mna vibali au ndo mnauzia store?
Maana huo mtaji kwa biashara tena kkoo ni kiduchu mno

Tushawishi pls kwa maelezo yalonyooka
 
Weka maelezo ya kueleweka mkuu
Unafaulisha mzigo au unafaulisha na share?
Kodi ikoje?
Mna vibali au ndo mnauzia store?
Maana huo mtaji kwa biashara tena kkoo ni kiduchu mno

Tushawishi pls kwa maelezo yalonyooka
Nimeweka dokezo ,Maelezo ni mengi ndio maana nimesema kwa alie na uhitaji anicheck dm nimpe full details. Kuna documents zote ila kila mtu ana bidhaa zake hapo dukani na tunachanga rent na furniture na tax
 
Umeshauza?
 
Wapi picha biashara hii mbuzi kwenye gunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…