Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka bei na zinapatikana wapi?
Wasimbe tupo umeziosha
Sawa offer yko ngapindio mkuu
Unauzaje ndoo TZ na upo India ??
Akhaaaa....elufu amusini kwani hiyo ndoo ina kirisimasi ndani. ,,😂Hiyo laki tatu labda alikuwa hajaedit ni 50k moja soma vizuri mkuu
Naipataje5000
We ndio umekurupuka kuweka bidhaa bila bei. Wanaosema laki wanapita wakikujoki na ulivyo akili ndogo hata uelewikisi kivipi.. jaman someni vizuri alicho andika mtu then weka maon yako usipende ku rush
Huo uzembe wako.aliye kwambia laki
mzee kwan lazima upambane na mm yaan ww unapambana na mi sms yako mm kwa tangazo hlo hlo wenye nia walinipigia na nilikuwa na ndoo mia tatu na ziliishaWe ndio umekurupuka kuweka bidhaa bila bei. Wanaosema laki wanapita wakikujoki na ulivyo akili ndogo hata uelewi
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app