INAUZWA Nauza ngombe /mtamba ana mimba

INAUZWA Nauza ngombe /mtamba ana mimba

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
Salaam Sana
Nauza mtamba pichani Bei 1.5m
Ana mimba miezi 4
Location; kiluvya gogoni dsm

Picha/video zaidi 0755404226

384006054.jpg
 
Jifunzeni kuandika matangazo ya biashara,

Huyo ng'ombe ni kabila gani?

Sifa zake kwenye utoaji maziwa zikoje?

Ustahimilivu wa magonjwa?

Hemu ongezea nyama tangazo lako chief
 
Duh kumbe ng'ombe wana kabila!!??
Jifunzeni kuandika matangazo ya biashara,

Huyo ng'ombe ni kabila gani?

Sifa zake kwenye utoaji maziwa zikoje?

Ustahimilivu wa magonjwa?

Hemu ongezea nyama tangazo lako chief
 
Duh kumbe ng'ombe wana kabila!!??
Kama ulizoea kushinda jukwaa la MMU lazima haya utayaona mageni,kuita kabila ni kufanya kueleweka kwa urahisi wengi mmezoea "breed".Kwa upande wa breed za nyama kuna borani,kongwa breed nk.Wa maziwa nao wapo fressian nk
 
Aina Ni freshian
Mama yake alikuwa anatoa maziwa Lita 8 asbh jioni Lita 6
 
Fanya laki 7 mkuu
Hapana kiongozi huyo baada ya miezi kadhaa nitakuwa na ngombe na ndama na Kila siku nitauza maziwa .

Dume wa size hiyo ndio anauzwa laki 7 fanya uchunguzi kabla ya kununua
 
Back
Top Bottom