Nauza nguo za mtumba za kiofisi na za kawaida

DAKA MTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,288
Reaction score
805
Suruali za kike na kiume za kiofisi,mashati ya kiofisi na blous,pia tuna slim fit jeans,tops,mini dress,tops,magauni ya watoto ya kuendea msikitini na kanisani.

Napatikana banana ukonga, sina office bali nauzia mzigo nyumbani.

​
 
Hivi huwezi hata kuiga namna watu wengine wanavyoweka matangazo yao yakiwa na maelezo kamili??

Hebu jifunzeni kujitangaza kwa uzuri kukiwa na maelezo ya kutosha ili biashara zenu zishamiri...

Kila kheri...
 
Kwa maelezo kamili piga simu:0775048911
 
hivi huwezi hata kuiga namna watu wengine wanavyoweka matangazo yao yakiwa na maelezo kamili??

Hebu jifunzeni kujitangaza kwa uzuri kukiwa na maelezo ya kutosha ili biashara zenu zishamiri...

Kila kheri...
shukrani.
 
Bei kwa mashati ya kiume ya ofisini inaanzia 15,000-20,000.Nunua mashati6 nikuongeze moja.Suruali za ofisini bei inaanzia 20,000-25,000,nunua suruali6 nikuongeze1 bure.Blauzi bei inaanzia 6,000-12,000,nunua blauzi7 nikuongeze moja bure.
 
hizi ni baadhi ya nguo zilizopo!

​
 
Suruali za kike pia zipo.
Namba hiyo hapo juu!!!!

Ntakuletea mzigo popote ulipo hapa Dar!wa mikoani ntawatumia kwa gharama zangu endapo utachukua mzigo wenye thamani zaudi ya laki1.
 
Kwa wale wanunuzi wa jumla pia mnakaribishwa maana mzigo upo wa kutosha!!!
 
nipe oda yako nikupe picha ya nguo uitakayo.
 
Bei kwa mashati ya kiume ya ofisini inaanzia 15,000-20,000.Nunua mashati6 nikuongeze moja.Suruali za ofisini bei inaanzia 20,000-25,000,nunua suruali6 nikuongeze1 bure.Blauzi bei inaanzia 6,000-12,000,nunua blauzi7 nikuongeze moja bure.

Bosi mbona mimi picha hazionekani?? Ebu naomba ujaribu tena kuziapload,mashati ya kiume
 
Tafuta kamera au format ambayo haitatoa ma-MB makubwa kwenye hizo picha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…