Nauza nguo za mtumba za kiofisi na za kawaida

Wa mikoani mnaonunua kwa jumla ntawapa discount nzur!!!!!
 
Safi sana ujasiriamali mzuri, hebu fungua page fb halafu uipromote, ukishusha mzigo unaugrade na kuchambua unapiga picha nzuri za item unaweka na sizes na bei, ni kazi ngumu lakini nakuhakikishia utauza mpaka utachoka, hapohapo nyumbani kwako na laptop yako na simu tu ni duka tosha! cha muhimu ni kutuma vitu wanavyonunua watu kwa muda muafaka.
 
thx mkuu.
 
Back
Top Bottom