DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 805
- Thread starter
-
- #21
kama vp nipe email yako mkuu!Haya bosi
Kwa wale wanunuzi wa jumla pia mnakaribishwa maana mzigo upo wa kutosha!!!
ok mkuu.maelezo yako ni mazuri ila jaribu kuandika in a single post na sio kwavipande vipande
Na whatsapp unatumia mkuu?maana ni rahisi zaudi kukupa picha.
Na whatsapp unatumia mkuu?maana ni rahisi zaudi kukupa picha.
nimekutumia mkuu kwa whatsapp.0788 202609
sawa !Bosi mbona mimi picha hazionekani?? Ebu naomba ujaribu tena kuziapload,mashati ya kiume
Wa mikoani mnaonunua kwa jumla ntawapa discount nzur!!!!!
Bonanza mkuu!Banana sehemu gani mkuu? mana ndo kwetu huko.
thx mkuu.Safi sana ujasiriamali mzuri, hebu fungua page fb halafu uipromote, ukishusha mzigo unaugrade na kuchambua unapiga picha nzuri za item unaweka na sizes na bei, ni kazi ngumu lakini nakuhakikishia utauza mpaka utachoka, hapohapo nyumbani kwako na laptop yako na simu tu ni duka tosha! cha muhimu ni kutuma vitu wanavyonunua watu kwa muda muafaka.