INAUZWA Nauza nguo zenye ubora wa hali ya juu kwa bei poa

INAUZWA Nauza nguo zenye ubora wa hali ya juu kwa bei poa

weka picha chini yake weka bei
mods wakifuta uzi utawalaumu ?
 
IMG_2350.jpg
 
Wabongo suala la kuweka bei kwao ni gumu sana..
Mtu anajaza mapicha bila bei alafu anataka apigiwe simu .
Imagine kama Aliexpress au Ebay nao wangekuwa wanapost picha tu, then mpka uulize kwenye comments ndo uambie njoo inbox[emoji38][emoji38]
Yaan mambo ya kijima kabisa, ila nilichogundua hawafanyi hivyo kwa bahati mbaya, wengi ni walanguzi na wapigaji..huko inbox kila mtu anatajiwa bei yake, kingine wanakuwaga na bei kubwa pengine hata mara mbili ya bei halisi.
 
Sema unauza nguo bei nafuu, usiseme nguo bora
Nimeona midosho tu hapo ,
 
Unatujazia server zetu bhna , we unatuma huweki bei unamaana gani ?? Unaturingishia
 
IMG_2615.jpg

JEANS 30,000/=
SHIRT 30,000/=
 
Back
Top Bottom