Suruali 5000? Jamaa una bei nzuri sana utapata wateja wengi.
Aisee bei rahisi ....elfu Kimi...Mungu awabariki sana,ngoja nijjipange
JAmaa wana bei Poa sana😅😅😅
Poor marketing vipi ...wakati vitu ni vizuri na Bei ni poa kabisa...elfu Tano,kumi....😂Poor marketing skills😠