Car4Sale Nauza Nissan Patrol GR 25M

Milioni 70 Gari namba C unaua mkuu.
 
Bei reasonable kabisa, tatizo uchumi[emoji4]
 
Exactly ukipata Manual diesel ni balaa tupu. Inasepa balaa halafu halichagui barabara.
Napenda zenye engine ya Td 42 ina mngurumo hivi kama simba

Hapo kuna Trade in,

TD42: Muumgurumo mkubwa BUT haikimbii na ina umeme mdogo sana maana ni engine ya zamani so mafindi wanaipenda pia inakula sana mafuta (4000cc)

ZD30 : Haifikii muungurumo wa TD42 ila inakumbia haraka maana inakuja na Turbo yake pia inatumia mafuta kidogo kama Rav4 or Harrier tu. Na ina umeme mwingi zaidi maana ni Modern engine

So chaguo ni la mtumiaji, Binafsi nilitoa TD42 nikaweka ZD30
 
Hii gari naielewa.IKO wapi.hata ukinipa kazi ya UDEREVA kwa hii gari nafanya kabisa.Nipe kwa mkataba wa UBER mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…