nandengele
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 689
- 805
Mkuu gharama ya kuweka ZD30 ipojeHapo kuna Trade in,
TD42: Muumgurumo mkubwa BUT haikimbii na ina umeme mdogo sana maana ni engine ya zamani so mafindi wanaipenda pia inakula sana mafuta (4000cc)
ZD30 : Haifikii muungurumo wa TD42 ila inakumbia haraka maana inakuja na Turbo yake pia inatumia mafuta kidogo kama Rav4 or Harrier tu. Na ina umeme mwingi zaidi maana ni Modern engine
So chaguo ni la mtumiaji, Binafsi nilitoa TD42 nikaweka ZD30