Car4Sale Nauza Nissan Patrol GR 25M

Mkuu gharama ya kuweka ZD30 ipoje
 
Hiyo ndoa yako, akitokea mtu anakupa mil10 muachie akashinde nalo garage. Kwa maelezo yako ni kama umeshalifanyia overhaul.

Kweli ni gari ngumu lakini imeshafikia mwisho mwisho expiry date yake imefika.
 
Asante kwa ushauri Mzuri mkuu[emoji1488]
 
Kama shida yako ni gari ya juu uza hii gari nunua gari ya juu labda kama ni fundi sawa.
Nishaiuza hii nimeagiza SUV gari ya kupanda unatumbukia hapana kwa kweli imenishinda kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…