Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Ingekuwa Toyota ingekuwa nzima tu! Shida ni NissanEngine ikitembea bile oil, kuharibika given au kuna mda flani ndio inakuwa shida ~
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa Toyota ingekuwa nzima tu! Shida ni NissanEngine ikitembea bile oil, kuharibika given au kuna mda flani ndio inakuwa shida ~
Toyota engine zake hazitumii oil ? Jamaa hueda akuwa makini, gari utembelee haina oil kwa siku mbili usi notes hata mlio wa injiniIngekuwa Toyota ingekuwa nzima tu! Shida ni Nissan
Nashindwa kumuelewa, afadhali aichinje ila awe mvumilivu atapata pesa zaidiBoss ni kweli unamiliki gari hilo unakosa 1m? Au imekupasua kichwa sana
Hahahah kuna watu gari wanajuaga kuwasha tuToyota engine zake hazitumii oil ? Jamaa hueda akuwa makini, gari utembelee haina oil kwa siku mbili usi notes hata mlio wa injini
Gari ikiwa haina oil utajua tu, tena siku mbili nzima.. lbda lina shida ingineHahahah kuna watu gari wanajuaga kuwasha tu
Wahuni bana umeshaelezwa mapungufu ya gari on top of that nissan extrail zinajulikana kama vp pita vileHata upigaji picha unaipiga kwa woga sana mkuu. Why?