James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Isije Ikawa kama jamaa yule wa majumba sita pale airport DSM. Yeye anafanya kazi TANROAD alijua nyumba zake zitabobomolewa kabla taarifa hazijaifikia jamii miaka michache nyuma. Akaziuza zote pale maeneo ya relini kama unaenda kinyerezi. Kisha yeye akaenda kujenga kinyerezi anakaa Huku anasubiri bomu lilipuke. Sasa aliowauzia wote zitabobolewa. Wiki iliyopita eti wanaandamana kwenda nyumbani kwa jamaa ili wapate haki zao. Sijui kama walimkuta.