Atakuwa haiuzi huyu ameamua kutujulisha kuwa anamiliki nyumbaDokezi la bei je
Mzungu? Hayo maeneo yanatizamana na shule ya sekondari mwinyiNapajua apa ni karibu na shule moja ya private mzungu , inaitwaje sijui?
Hapana mkuu...labda Mwinyi ya kule chini(Skanda)...Mwinyi imejaa vibaka na ardhi ya huko inamaji mengi sana.
Kweli mkuu...yeye anapazungumzia NEW Era, kule Ng'ambo....Mzungu? Hayo maeneo yanatizamana na shule ya sekondari mwinyi
Shule ya mzungu ipo mbali sana na hapo, inaitwa New Era.
Nimefanya project nyingi huko kabla sijaanua
Hiyo ni nyumba yako?Wakuu habari zenu? Nimeamua kuwaletea hii taarifa njema, hasa kwa wale wenye tamanio la kuishi Tabora (Unyamwezini) kwa watoto wa kiarabu.
Kiufupi ni kwamba nyumba ina sehemu mbili...
Nyumba kubwa na ndogo.
Nyumba kubwa ina vyumba sita.
Na nyumba ndogo ina vyumba vitatu...
Ina ukuta, na geti.
Kwa wale mliowahi kufika/kuishi Tabora [Toronto] ...nyumba ipo maeneo ya Mwinyi mbele ya Efatha. Barabarani kabisa.
Naambatanisha na picha hapa chini. Mwenye uhitaji anicheck PM ... tuyajenge...
. View attachment 2571245View attachment 2571246View attachment 2571247