george pk
Senior Member
- Jun 15, 2020
- 123
- 165
Wakuu habari zenu? Nimeamua kuwaletea hii taarifa njema, hasa kwa wale wenye tamanio la kuishi Tabora (Unyamwezini) kwa watoto wa kiarabu.
Kiufupi ni kwamba nyumba ina sehemu mbili...
Nyumba kubwa na ndogo.
Nyumba kubwa ina vyumba sita.
Na nyumba ndogo ina vyumba vitatu...
Ina ukuta, na geti.
Kwa wale mliowahi kufika/kuishi Tabora [Toronto] ...nyumba ipo maeneo ya Mwinyi mbele ya Efatha. Barabarani kabisa.
Naambatanisha na picha hapa chini. Mwenye uhitaji anicheck PM ... tuyajenge...
.