Miss Mbeya
Member
- Mar 2, 2020
- 18
- 15
E
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sehem mmeona nimeweka hiyo beiLengo lenu ni kuvuruga watu na hizo comments zenu au?
Hio nyumba nzuri hivyo unauza laki5 aah em kuwa serious mkuuKuna sehem mmeona nimeweka hiyo bei
Au acheze mwenyewe... joke😜😜Video haitaki kucheza. Km unaweza naomba nitumie picha au video kwny message humu jf
Video haiplayNauza nyumba yangu ipo jijini Mbeya, maeneo ya veta ina nyaraka zote
sifa zake:
1. Vyumba 4 kimoja master
2. Store
3. Jiko
4. Sebure kubwa
5. Dinning
6. Corridor
7. Public toilet
Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa no 0716142540
Bei million 55
Video haitaki kucheza. Km unaweza naomba nitumie picha au video kwny message humu jf