House4Sale Nauza nyumba yangu ipo Kivule kwa wamakonde 25mil

Nyamwi

Member
Joined
Jan 12, 2022
Posts
55
Reaction score
60
Habari,

Nauza nyumba yangu ipo maeneo ya Kivule kwa wamakonde 25mil, haijaisha...Imeezekwa na mabati ya msauzi..Kiwanja ni cha kuandikishana serikali za mitaa hakina hati, kina ukubwa wa sq 500, ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja ndo master, ina sebule,dining pamoja na jiko.

Aliyepo serious tuwasiliane 0657940974











 
Kweli nyimba fupi alipaswa kuongeza msingi angalau kozi nne juu na hilo bati ingeoendeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…