Spliffcharm
Senior Member
- Jun 21, 2020
- 136
- 370
Hapana kaka, Ni picha nadhani.Mbona imechakaa sana mkuu..?
Ipo mkuu hiyo upande wa kulia . . inahitaji finishingHiyo seventy quarter iko wap?...heheheeee
Hailipi ndugu fika eneo husika uone kama inaendana na hiyo value ndugu.chukua 30 mil mkuu
Asante nduguHailipi ndugu fika eneo husika uone kama inaendana na hiyo value ndugu.
Nilitegemea kukutana na comment ya hivi.Niuzie hao mbwa hapo mkuu.
Punguza dharau ndugu. Nyumba inanuliwa sio kwa uzuri tu. Bali eneo ilipo na ukubwa, means of transportation na mazingira ... !! Probably huna nyumba ndo maana sio rahisi kuelewa.Hata 20m siyo. Sana sana 15m