Nauza nyumba

sasa kama pana mafuriko kweli bd unaniuliza chaguo ni langu mmh 60 ml for mafuriko house mmh usipoteze mda hutapata mteja

shida ni gari and nothing else, hakuna aliyekuuliza kua chaguo ni lako, do you even understand sentensi zenye maswali???
Hakuna kitu kibaya kama kukurupuka kujibu bila kujua uliulizwa nini.
Anyway thank you kwa mchango wako.
 
watu wangekua wanajenga kwenye barabara basi, nyoosha kiswahili mkuu.

Utaelewa tu we rudia tena!! Kwani wanavyosema Nyumba Choo wanamaanisha nyumba inajengwa kwenye choo? Jitambue!! Nyumba/kiwanja ni barabara kama hakuna hakina thamani
 
Utaelewa tu we rudia tena!! Kwani wanavyosema Nyumba Choo wanamaanisha nyumba inajengwa kwenye choo? Jitambue!! Nyumba/kiwanja ni barabara kama hakuna hakina thamani
why do l have to waste my time to read again and again? l am here for something else mkuu.
 
Unaongelea fake document, naongelea original document, you see the difference???

Mkuu wewe deal na wanunuaji serious tu, wengine wata kukatisha tamaa tu hapa. Ila nnachoamini kuna watu wanatazama mambo kwa mitazamo tofauti. Hukohuko ambako gari haifiki mtu atapachukua na atafanya kitu wengine wataanza kujilaumu.

Na kama mtu hauna interest si lazima upondee saaaaana, unaweza toa maoni na ushauri lakini sio kuanza kubeza.

Thanks
 
Gari kutofika si ishu, ni vizuri kwa mtu aliye serious afike eneo husika na kujua hali halisi, siku hizi kuna ubunifu mwingi sana, tatizo kwa mwingine wewe chukulia kwako ni opportunity. Mkuu usikashwe tamaa na wasio wateja. Keep on!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…