Nauza one coin zangu 1000

Nauza one coin zangu 1000

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
1,382
Reaction score
513
Bei ya one coin moja ni shilingi za kitanzania 31,000/, ila nimeamua kuuza kwa bei ya offer 25,000/. Kwa anae hitaji tuwasiliane kwa simu no 0657 22 44 25.

Coin ziko 1000, (25,000 * 1000) 25,000,000/tsh mazungumzo yapo.

Tuwasilianae kwa namba ya simu. 0657 22 44 25.
 
Mhh hujaeleweka

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Unauza kwa nani?
Wanachama wenzako wa hiyo ponzi scheme yenu.

Ni sawa na kumwambia mtu akupe hela ili achukue akiba yako iliyoko kwenye akaunti ya DECI.

Maana yake mbadilishane yeye akupe cash jisha wewe umpe akiba yako iliyoko kwenye akaunti ya DECI.

Atakua taahira atakae kubali kufanya biashara ya aina hiyo.
 
trouble Big Baba one coin ni digital currency, maarufu kama cryptocurrency ni fursa ambayo imebadilisha ulimwengu wa fedha ila imepokelewa kwa mitizamo tofauti.
One coin can be exchanged whereby real money is swapped for a coin at the current exchange rate or vice versa. We have personal address just like bank account number and every single transaction is recorded in a public ledger known as Block-chain.
Hakuna ujanja ujanja kama wadau wanavyosema. Karibu
 
Why don't you want to wait until the company goes public?? To sell your coins!!
 
Natumaini mleta mada ulipata mwongozo.

Kumbe ulinyoroshwa😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom