Swali zuri sana hiliKwa nini unauza hii sababu lazima useme kumtoa mtu shaka, kama kipengele kipo unasema.
Swali zuri sana hiliKwa nini unauza hii sababu lazima useme kumtoa mtu shaka, kama kipengele kipo unasema.
Sawa mkuu subiri waje.Swali zuri sana hili
Kwanza hii simu alikua anatumia Wife
Mimi nina kawaida ya kuupgrade simu baada ya muda fulani, yaani nabadilisha simu mimi na wife ili kujipongeza na kitu kipya
Kwa sasa hii haitumiki tena hivyo lazima Niuze
Hapana afisa.Kwani ww hautaki afisa